KERO Mtandao wa Yas umekuwa wa ovyo sana

KERO Mtandao wa Yas umekuwa wa ovyo sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
843
Reaction score
1,630
Wanaotumia yas ( zamani tigo ) wanajua kinachoendelea.

Tunakubali kuwa huwa kuna Changamoto za kiufundi ila tatizo linapozidi siku mbili unakuwa ni aidha upuuzi, uzembe au kwa lugha kali Ujinga!

Screenshot_20250131_202328_Phone.jpg
 
Juzi wamenitumia ujumbe kuwa ninunue kifurushi chochote cha internet cha Tsh elfu moja wanipe ofa ya GB 1 , nikanunu hawakunipa.
Nikapiga namba 100 wakakataa nilipokua mkali wakanipa namba ya whatsapp nikawapa ushahidi wakaniambia ndani ya masaa 24 watatuma.
Yakapita masaa 27 nikawakumbusha wakaniambia niwe mvumilivu.
Jana siku ya 3 nikawatumia emoji nikacheka wakanitumia sms ileile ya jana yake kuwa niwe mvumilivu mimi nikawaambia wala sihitaji tena hiyo GB yao maana sio waaminifu.
Tangu jana asubuh sijawatafuta tena
 
Hao mbwa sana. Nimejaribu kufanya transaction sasa lisaa zima hamna response. Ni upuuzi.
 
Hivi sasa nashindwa kununua sms, dakika wala MB kupitia mixx ili nifanye mawasiliano ya muhimu kabisa sasa hii maana yake nini?
Mtandao Tanzania ni mmoja tu "VODACOM "
 
Sijui ni mbuzi gani ameununua anatesa watu kiasi hiki
 
Huduma kwa wateja wanachukua muda mrefu saana..sijui wamepunguza wafanyakazi...

Ni kweli wamekuwa wa hovyo
 
Back
Top Bottom