Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 843
- 1,630
Bado ni upuuzi tu, inatuathiri sisiNafikiri kubadili jina kumekuja na mabadiliko makubwa ya mifumo yao ya utendaji kazi pia
Wanakera sana...Wanaotumia yas ( zamani tigo ) wanajua kinachoendelea.
Tunakubali kuwa huwa kuna Changamoto za kiufundi ila tatizo linapozidi siku mbili unakuwa ni aidha upuuzi, uzembe au kwa lugha kali Ujinga!
View attachment 3220145
MIXX by Yas
Unajua hili neno wanalijua wenyewe: Mix_x (maana yake jichanganye na ngono "x"). Yas (ass)
😿😿😿Wanaotumia yas ( zamani tigo ) wanajua kinachoendelea.
Tunakubali kuwa huwa kuna Changamoto za kiufundi ila tatizo linapozidi siku mbili unakuwa ni aidha upuuzi, uzembe au kwa lugha kali Ujinga!
View attachment 3220145
Mtandao wa yas unazinguaqNipo Kwa wakala, mtandao hakuna.
Sasa tuhamie tu VodacomHuduma kwa wateja wanachukua muda mrefu saana..sijui wamepunguza wafanyakazi...
Ni kweli wamekuwa wa hovyo
Watajikuta wana wateja wanneWanajisahau sana