Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,491
Habari wakuu. Kwenye mtandao wa Zoomtanzania ambalo ni duka la mtandaoni, nimeingia na kukuta magari mengi ya mnada. Kuna gari nyingi naona zimeandikwa 'manada wa magari', kwa maana ya kwamba zinapatikana kwenye huo mnada.
Wakuu, kama kuna mtu ana uzoefu na huo mnada, naomba anishirikishe mawili matatu na uhalisia wa huo mnada kwa ujumla. Ningependa zaidi nisikie toka kwa mtu aliyekwisha wahi kununua gari kutoka kwenye huo mnada. Asanteni.