Kijiji cha Songambele ni kijiji kilichopo nje kidogo na mji mkuu wa nchi. Wananchi wa kijiji hiki wamekua wakijihusisha na shughuli za kilimo na ufugaji ili kuweza kujikwamua na wimbi la umaskini Kwan imekuwa ni gumzo hali hii ilipelekea vijana wengi kushindwa kuendelea na masomo kutokana na kushindwa kulipa Karo ya shule pamoja na michango midogo midogo ya pale shuleni.
Katika kijiji cha songambele palikuwa na kijana aliyeitwa chole kutoka Familia ya mzee sikitu, Familia yenye watoto Sita huku chole akiwa ni mzaliwa wa nne katika Familia hiyo.
Chole alikuwa ni kijana mwenye kujituma, kujiamini na mtu anaependa mafanikio ya yeye pamoja na jamii anayoishi kwa ujumla hivyo alibahatika kupata elimu yake katika shule ya msingi songambele ambapo alimaliza na kujiunga katika shule ya sekondari ya wazo ambapo kutokana na tabia yake ya kupenda kujituma na kupenda mafanikio chole alifanya vizuri katika masomo yake hivyo akapewa ufadhili wa kwenda kusoma nchi za ughaibuni masomo ya uhandisi.
Kijana Chole alipofika nchi ya ughaibuni alishangazwa na kuona watu hawafanyi shughuli za kilimo kama ilivyo kijijini kwake, lakini pia alishangazwa na kuona maendeleo ya miundombinu ya mawasiliano, usafirishaji, na hata katika nyanja za kibiashara.
Lakini pamoja na uwepo wa maendeleo kwa kias kikubwa kias hiki lakin vijana wengi wenye Rika kama lake walikua wakilia machozi kwa mamlaka za nchi Yao juu ya ukosefu wa ajira Kwan vijana wengi katika nchi hio walikua hawajapata ajira hivyo walikua wanaishi katika Hali ngumu hivyo vijana wengi wa nchi Ile walijihusisha na tabia zisizofaa kama vile ulevi.
Kutokana na Hali ngumu ya maisha katika nchi Ile ya ughaibuni ilimpasa chole kuitafuta namna ya kuweza kujikwamua kiuchumi ili kuweza kuisadia Familia yake na jamii kwa ujumla hivyo kijana chole akaamua kua za kuitafuta fursa iliyopo katika jamii inayomzunguka.
Kutokana na kukua kwa Kasi ya maendeleo ya sayansi na teknolojia kijana chole aliweza kuona fursa zilizokua katika mitandao ya kijamii iliyokuepo katika nchi Ile ya ughaibuni.
Hivyo kijana chole alifungua jukwaa la mtandaoni katika mtandao maarufu uliokuwepo nchini kwake na kuanza kutoa maudhui ya kielimu kwa vijana wenzake kupitia jukwaa Hilo.
Kutokana na tabia ya kupenda kujituma kijana chole alifanikiwa kukidhi vigezo vya kuanza kulipwa na mtandao huo ndani ya mda mchache Hali iliyobadilisha maisha yake kwa kipindi kifupi.
Hii iliamsha chachu kwa vijana wengine wenye Rika kama lake katika jamii kuweza kuchangamkia fursa zilizopo katika mtandao na kuweza kujikwamua kutoka katika wimbi LA umaskini kwa vijana wa nchi hio.
Baada ya kumaliza masomo katika nchi ya ughaibuni kijana chole alifanikiwa kurud katika kijiji cha songambele ambapo aliendelea kutumia fursa zilizopo kwenye mtandao kutoa elimu kwa wanakijiji juu ya matumizi sahihi ya mtandao na kuweza kubadilisha maisha yake na jamii kwa ujumla.

Upvote
4