Pre GE2025 Mtandika: Tuache kusema Rais anatumia kodi zetu vibaya kwa safari za nje ya Nchi

Pre GE2025 Mtandika: Tuache kusema Rais anatumia kodi zetu vibaya kwa safari za nje ya Nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii serikali ya Samia imeonesha watanganyika ni watu wa ovyoo sana na hawana maono wala nia thabiti na taifa lao, maana wako tayari kufanya chochote na kusisifia chochote kinachofanywa mtawala mathalani tu wananufaika na udhaifu au upuuzi wa mtawala huyo.

Hii awamu ya sita itakumbukwa kama awamu ya ovyo na dhaifu kuliko zote kuwahi kutokea tangu uhuru.
 
Rais anasafiri nje ya nchi kikazi. Haendi matembezi na huwa ni ziara za siku moja au mbili.
Huyu rais si wa kwanza hapa Tanzania kusafiri
Punguzeni chuki zisizo na maana.
 
Back
Top Bottom