Hii serikali ya Samia imeonesha watanganyika ni watu wa ovyoo sana na hawana maono wala nia thabiti na taifa lao, maana wako tayari kufanya chochote na kusisifia chochote kinachofanywa mtawala mathalani tu wananufaika na udhaifu au upuuzi wa mtawala huyo.
Hii awamu ya sita itakumbukwa kama awamu ya ovyo na dhaifu kuliko zote kuwahi kutokea tangu uhuru.