RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa upana wake sijaweza kuelewa vyema.
Je, mtanganyika anaruhusiwa kugombea kiti cha urais kwa upande wa Zanzibar?
Je, mzanzibar anaruhusiwa kugombea kiti cha urais upande wa Tanganyika?
Anayefahamu vizuri katiba yetu naomba anifafanulie vizuri.