Kila Mzanzibar ni Mtanzania, ila si kula Mtanzania ni Mzanzibar, hapo hujaelewa nini?Muungano wa tanganyika na zanzibar kwa upana wake sijaweza kuelewa vyema,
Je mtanganyika anaruhusiwa kugombea kiti cha uraisi kwa upande wa zanziba? Na
je mzanzibar anaruhusiwa kugombea kiti cha uraisi upande wa tanganyika?
Anayefahamu vizuri katiba yetu naomba anifafanulie vizuri
Ni kama kugombea Charles Kitima akitangaza nia kugombea U-Mufti wa TanzaniaMuungano wa tanganyika na zanzibar kwa upana wake sijaweza kuelewa vyema,
Je mtanganyika anaruhusiwa kugombea kiti cha uraisi kwa upande wa zanziba? Na
je mzanzibar anaruhusiwa kugombea kiti cha uraisi upande wa tanganyika?
Anayefahamu vizuri katiba yetu naomba anifafanulie vizuri
Kasome Katiba ya JMT ya mwaka 1977 toleo la 2000, acha kutuchosha humuMuungano wa tanganyika na zanzibar kwa upana wake sijaweza kuelewa vyema,
Je mtanganyika anaruhusiwa kugombea kiti cha uraisi kwa upande wa zanziba? Na
je mzanzibar anaruhusiwa kugombea kiti cha uraisi upande wa tanganyika?
Anayefahamu vizuri katiba yetu naomba anifafanulie vizuri
Haya maswali ya kijinga mods msiwe mnayaruhusu. Demokrasia sio kuandika kila kitu. Tanganyika HAIPO halafu mtu anaulizia Ugombea Urais wa Tanganyika. Very stupid!!Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa upana wake sijaweza kuelewa vyema.
Je, mtanganyika anaruhusiwa kugombea kiti cha urais kwa upande wa Zanzibar?
Je, mzanzibar anaruhusiwa kugombea kiti cha urais upande wa Tanganyika?
Anayefahamu vizuri katiba yetu naomba anifafanulie vizuri.
Tanganyika Law SocietyHaya maswali ya kijinga mods msiwe mnayaruhusu. Demokrasia sio kuandika kila kitu. Tanganyika HAIPO halafu mtu anaulizia Ugombea Urais wa Tanganyika. Very stupid!!
Bwashee hicho kimpumu uwe unakunywa kwa kiasi.Tanganyika Law Society
International School of Tanganyika
Tanganyika Jeki
Nk....nk....๐ผ
Huyu anakunywa Ulanzi!Bwashee hicho kimpumu uwe unakunywa kwa kiasi.
Tanganyika Arms
Swali lako zuri sana,............linafanana na mtu anayeuliza:-,mbona mtu akiwa Tanzania anaweza kununua vitu kwa USD ila akiwa U.S hawezi nunua vitu kwa TSH?Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa upana wake sijaweza kuelewa vyema.
Je, mtanganyika anaruhusiwa kugombea kiti cha urais kwa upande wa Zanzibar?
Je, mzanzibar anaruhusiwa kugombea kiti cha urais upande wa Tanganyika?
Anayefahamu vizuri katiba yetu naomba anifafanulie vizuri.
Kwa hiyo ngoma draw?.Wenyewe wanasema Mwinyi ni watanganyika wa Shungubweni Mkuranga
Hii hadithi mpaka lini? Mkuu haya mambo yapo tu. Kama hutaki vunja muungano.Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa upana wake sijaweza kuelewa vyema.