Mtanganyika ukibahatika ukawa Rais wa Zanzibar utakuwa mzalendo?

Mtanganyika ukibahatika ukawa Rais wa Zanzibar utakuwa mzalendo?

vibesen xxx

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
3,187
Reaction score
6,620
Ikitokea ukahabatika ukibahatika ukawa Rais wa visiwani Zanzibar

Je, utasimamia nchi kizalendo au utafanya kupiga deal uwe bilionea tu

Au ukiacha kuwa Rais Zanzibar

Ukibahatika kwenda somalia ukaingia kwenye mfumo wa siasa ukibahatika kuwa waziri

Je, utakuwa mzalendo?
 
Endelea....nasikia wanapigiwa simu, wanatoweka.
 
Huo uzalendo utatoka wapi? Nitakuwa mzalendo daima kwa nchi yangu tu ya Tanganyika.
 
Back
Top Bottom