Mr. Tanganyika
Member
- Nov 13, 2010
- 91
- 7
Kitambo nlipata kujuzwa kuwa kuna mtanzania mmoja kutoka jamii moja iliyoko Kaskazini mwa Tanzania alienda mpaka Umoja wa mataifa(UN) kudai uhuru wa Eneo lake alilotoka na sio Uhuru wa Tanzania Nzima.
Ni ya kweli hayo? mwenye historia juu ya jambo hili Atujuze basi.
Baba wa Taifa
Si kweli
siasa za CUF hizo (itikadi ya CUF ni kuleta majungu kwa kuendesha siasahistoria, mara dhuluma ya Nyerere dhidi ya wazanziba,mambo ya HANGA na ushiriki wa SEIF MAALIM kumdhalilisha Rais JUMBE)Inasemekana Nyerere si mtanganyika wa kwanza kuhutubia UN, na kwamba wapo waliomtangulia lakini wazee wakajikomba kwa babu wakapindisha historia......kuna mwenye data!
siasa za CUF hizo (itikadi ya CUF ni kuleta majungu kwa kuendesha siasahistoria, mara dhuluma ya Nyerere dhidi ya wazanziba,mambo ya HANGA na ushiriki wa SEIF MAALIM kumdhalilisha Rais JUMBE)
vijana tunataka siasaleo hoja bin hoja kwa issues zenye maslahi kwa taifa na sio tantarira za kihistoria.
Mkuu kwani hujui kwamba hata uhuru alipigania peke yake
il hali watu chungu mzima waliacha kazi ku sabatage wakoloni
Ignorance of history made man to repeat same mistakes.
Tanzania bila Zanzibar haiwezekani kwani Tanzania ni zao la nchi 2 ZANNIBAR +TANGANYIKA,Labda umaanishe Tanganyika bila Zanzibar inawezekana.Marytina tuheshimiane, mimi sifanyi siasa bali nafanya utafiti. Na huwezi kupingana na historia. Utapata wapi siasa leo usipoanzia jana. Ignorance of history made man to repeat same mistakes.
kama ni wa kwanza au wa pili humu JF inatusaidia nini, ungeiweka katika habari mchanganyiko au intelligence
Nahisi kama ni wewe.
siasa za CUF hizo (itikadi ya CUF ni kuleta majungu kwa kuendesha siasahistoria, mara dhuluma ya Nyerere dhidi ya wazanziba,mambo ya HANGA na ushiriki wa SEIF MAALIM kumdhalilisha Rais JUMBE)
vijana tunataka siasaleo hoja bin hoja kwa issues zenye maslahi kwa taifa na sio tantarira za kihistoria.
Marytina tuheshimiane, mimi sifanyi siasa bali nafanya utafiti. Na huwezi kupingana na historia. Utapata wapi siasa leo usipoanzia jana. Ignorance of history made man to repeat same mistakes.
Nani alikuwa Mtanganyika wa kwanza kuhutubia UN