Marytina tuheshimiane, mimi sifanyi siasa bali nafanya utafiti. Na huwezi kupingana na historia. Utapata wapi siasa leo usipoanzia jana. Ignorance of history made man to repeat same mistakes.
kumbe unajua? tueleze basi?Si kweli
Inasemekana Nyerere si mtanganyika wa kwanza kuhutubia UN, na kwamba wapo waliomtangulia lakini wazee wakajikomba kwa babu wakapindisha historia......kuna mwenye data!
Moh Shossi hapo naona umetoa somo kali sio mchezoUtafiti wako utakuwa mgumu sana mkuu kwasababu ya "Tanzania bila Zanzibar inawezekana :israel:" itakuchukua miaka hamsini kujua kuwa neno Tanzania linajumuisha neno Zanzibar ambayo ni nchi na kabla ya hapo yaani before 1964 hakukuwa na kitu kinaitwa Tanzania. NA ulivyo mbishi hadi ukijakukubali utafiti wako utakuwa umepoteza maana.
Tanzania bila Zanzibar inawezekana :israel: inanitia shaka na wigo wa uelewa wako na kuwa hukusoma somo la historia shuleni.
krilo japhet
kumbe unajua? tueleze basi?
pls concentrate with an important issues, huko kuhubiri UN kutakusaidia nini wewe?
wenzako waanafanya utafiti wa kutumia solar energy,DNA engineering and others
wewe unafanya utafiti wa nani alihutubia UN?
kweli ndio maana Afrika tupo nyuma ya wenzetu maaradufu
krilo japhet
Mko nyuma kwa sababu hamtaki kufuatilia historia yenu iliyofutwa na mmebaki kuwa wajinga wa kutupwa, mnafata mikumbo tu...mkisikia dowans basi hamli hamlali mnalia dowans...mkisikia mabomu...hamli hamlali mnalia mabomu...kisha mnadai kufanya utafiti wa solar....uko wapi......kalagabaho na ubhozi wako
Mtanganyika wa kqwanza kuhutubia UN ni bwana JAPHET KIRILO kutoka meru,ARUSHA!..
ALIKWENDA KUPELEKA MALALAMIKO KUHUSU MGOGORO WA ARDHI WA WATU WA MERU
Sorry my friend,his name is JAPHET KIRILONi chifu mareale, kunikosoa ruksa!
Kwa historia iliyopindishwa na wanasiasa wetu tangu mwanzo kuna mengi Watanzania hatufahamu!Kitambo nlipata kujuzwa kuwa kuna mtanzania mmoja kutoka jamii moja iliyoko kaskazini mwa Tanzania alienda mpaka Umoja wa mataifa(UN) kudai uhuru wa Eneo lake alilotoka na sio Uhuru wa Tanzania Nzima...
Niyakweli Ayo? mwenye historia juu ya jambo hili Atujuze basi.
Thankz kwa info nzuri alienda kudai uhuru wa Tz nzima au wa eneo lake tu?Kwa historia iliyopindishwa na wanasiasa wetu tangu mwanzo kuna mengi Watanzania hatufahamu!
Mtanganyika wa Kwanza kwenda umoja wa mataifa kudai Uhuru wa safu ya mlima Meru na eneo jirani yake aliitwa Mzee Japhet Kililo kutoka jimbo la Mhe.Joshua Nassary kwa sasa.