Na mbona hakumuoa huyo mdada sasa kama ishu ni watotoSio kwamba hataki ila bado hajabahatika kupata. Sasa mwanaume lazima taa iwake, hii inaweza kuwa sababu ya kumfanya avute muda. Mbona Majizo ana mtoto kwa Hamisa.
Umeongea yote mkuu,sina la kuongeza hapa labda Wangari Maathai ataongezaHata ndoa bado pia sio kila kitu. Unaweza ukaolewa na bado ikawa unatamani hata usingeolewa. Ndoa zina mengi sana.
Na kuolewa pia sio kwamba ndo umemaliza safari, Kushindwana Kupo, Michepuko ipo na Talaka pia zipo.
Hivo basi usililie Pete ya Ndoa saaaana.
Bora uvae hiyo Pete ya Uchumba kwa furaha kwa Miaka Sita, kuliko kuvaa Pete ya Ndoa yenye Majuto Kibao ila mnaogopa kuachana sababu mnahofia watu.
My point is, Pete ya Ndoa sio suluhisho na Sio kila kitu. Ndoa zina mengi.
Usiingie kwenye Ndoa kama Fashion vile kisa Rafiki zako Wengine wameingia.
KUNA TOFAUTI KUBWA KATI YA "HARUSI(sherehe)" NA "NDOA"...
Ndoa nzito, Maana Kuunganisha FAMILIA MBILI sio mchezo, maana kuna vibweka vya Ndugu wa pande zote MBILI (mashemeji, Mama Mkwe, Baba Mkwe etc.) Ukimpelekea ZAWADI Mama Yako Mzazi basi ujipange pia kupeleka ZAWADI nyingne UKWENI nako.
Ukimlipia Ada ya Shule mdogo wako, heheh! Jiandae kuna Ada nyingne ya Ukweni inakusubiri.
That's why, You need to take time ndefu kwanza kabla ya Uchumba na Ndoa ili myajenge MJUE PESA ZENU MTA-HANDLE VIPI, NDUGU etc.
Otherwise vitu vidogo vidogo kama hivyo huwa taratiiiibu vnabomoa.
TRUST ME, Uhusiano wa U-BOYFRIEND na U-GIRLFRIEND NI MRAHISI SANA KULIKO wa U-HUSBAND na U-WIFE.
Ndo maana Msitulaumu sie Wanaume tukifanya Uchumba miaka SITA ππ [emoji23]
Hujanijuaga tu shost...mie kwenye mahusiano najionaga sielewi ...yaan sielewi ..kwanza nikiona matarumbeta mwenzako nasonyaga. ...nadra Sana kuniona jukwaa la mapenzi mimi ukiniona jukwaa la mapenzi Basi jua Kuna kitu nakimissπ....Sasa sijui Kama naelewa kituπ!Umeongea yote mkuu,sina la kuongeza hapa labda Wangari Maathai ataongeza
True love wangu ndo huyu memba kasema ndoa sio kila kitu unaweza ukaolewa ukajutraa. Hata mimi lile jukwaa natembelea mara moja kwa kwa miezi 4,Hujanijuaga tu shost...mie kwenye mahusiano najionaga sielewi ...yaan sielewi ..kwanza nikiona matarumbeta mwenzako nasonyaga. ...nadra Sana kuniona jukwaa la mapenzi mimi ukiniona jukwaa la mapenzi Basi jua Kuna kitu nakimissπ....Sasa sijui Kama naelewa kituπ!
Nikiona mdada anajiashua ameolewa siku ya ndoa namshangaa Sana!
Nachopenda ni kitu kimoja...nataman wanawake woteee wapite labor room!
Kula bia dogo life halieleweki hiliππTrue love wangu ndo huyu memba kasema ndoa sio kila kitu unaweza ukaolewa ukajutraa. Hata mimi lile jukwaa natembelea mara moja kwa kwa miezi 4,
Mapenzi hayana mwalimu
Kula bia dogo life halieleweki hiliππ
Nimetokea temeke kwa shost yangu, ndo nimefika home Sahiv, wiki nzima kuanzia leo staki biere tenaπ©π©π©
Love is sweet ukimpata THE RIGHT ONE na Mkaaminiana. Mkapanga Plans, mkaweka wazi PESA zenu na mkawa loyal to the plans. (When the love is mutual and unconditional).True love wangu ndo huyu memba kasema ndoa sio kila kitu unaweza ukaolewa ukajutraa. Hata mimi lile jukwaa natembelea mara moja kwa kwa miezi 4,
Mapenzi hayana mwalimu
You are a bad influence... Naughty! naughty girl! I LIKE your COMMENT though! Bora dogo ale bia ππ [emoji23][emoji23]Kula bia dogo life halieleweki hiliππ
haya sasa ndo nayataka...enheee
ππYou are a bad influence... Naughty! naughty girl! I LIKE COMMENT yako though! Bora dogo ale bia ππ [emoji23][emoji23]
tuubebe hivyo hivyo hamna namnaMji mzito huu