GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Farhia Middle, anaflow nzuri,lafudhi nzuri,anajua sana kunata na biti,haendagi off key,tone yake nzuri,anajua sana kutumia gastures japo kwa kuibia sana,mwonekano pia unambeba,halafu a naongea sauti ya kwanza nzito (wanakwaya watanielewa),mistakes ni chache sana asomapo,na yy binafsi ni mzuri kweli kweliSikumbuki Mara ya mwisho kuangalia taarifa ya hbr n lini..... Ngoja watazamaji waje
Azam tv taarifa yao huwa lini?saa ngapi?Wa azam TV.
Haha umemalizaMzuri kuliko mwenzie ndo ashinde..
Mi siwajui wote.
Naunga mkono hoja
Farhia Middle