kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Aana makalio membamba sana. Ukimuona uso kwa macho utamkimbia
Clouds mbona ni radio kubwa tu. Labda kama huna radio.
wewe una makalio manene?Aana makalio membamba sana. Ukimuona uso kwa macho utamkimbia
Nani asikilize radio ya wasukuma washambaaah,kumbe hizo redio komedi?
Wanachukua habari moja kwenye gazeti wanaijadili siku nzima?
Wanaingia blogu ya BBC wanatafsiri habari alaf mnasema ni redio?
Bora hata Rfa