haahaahaMh! Kuna kingine anawakilisha[emoji3] [emoji2] nipe ubuyu kidogo
Mi namfahamu kidogohaahaaha
sina ubuyu wowote mpya, lakin sidhani kana wewe ni mgeni na Gigie kweli jaman!!
hahahahaMi namfahamu kidogo
Mh!hahahaha
uongooo
unamfaham vzuri
Video: Gigy Money adai vyeti kwa Bashite kwa style hii
haya kamchek hapo
mkuu hiyo avatar ni kazi ya da vinci au mwingine?I like the eye gestures za kamuntu
Mkuu nani uyoenheee! wewe kweli unakajua, kanaonekana ni kadekaji kakubwa kale.
yaan kana mambo flan hivi [emoji23]
Unamjua mume wake?Ivona kamuntu, angekuwa hajaolewa kingeeleweka tu