Hivi jamani, kuna mtu amesema ameona kwenye facebook mtangazaji huyu anataka kugombea ubunge Iddi Ligongo, nikafuatilia na sikuona dalili hizo hata kwenye vyombo vya habari sijaona, sasa nataka kujua ni kweli kama mmesikia na hivi sasa jamaa yupo wapi, maana hata luningani simuoni.