Mtangazaji Ivona Kamuntu

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Mtangazaji wa Taarifa ya habari ya Azam two, Ivona Kamuntu jitahidi ubadilike kwani unatuboa sisi watazamaji wako wa taarifa ya habari. Umekuwa na tabia ya kurudia rudia hilo gauni lako la kitenge kama vile huna nguo nyingine. Badilika kwani ujue Azam Two inaangaliwa mbali sana hivyo unawaaibisha waajiri wako. Mnaofatilia Azam news ya Azam two mtakuwa mmenielewa.

Naamini ujumbe wangu umefika.
 

Usimlaumu sana..katokea mwanza huyo!!
 
Inawezekana anayo magauni mengi ya rangi hiyo. Hata akibadilisha inaonekana amevaa lile lile la jana.
 
Kaz tu kuwasema watu yako yamekushinda usimpange mtu...mkuu sio wote wenye fani ya kubadili mavazi
 


We mwanamme lazima utakuwa pashikuna tu, yaani unafuatilia mpaka gauni la msomaji habari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…