Misukule ya magufuli watapinga
Angetueleza ilikuwaje akapata na alijitibu kwa kutumia nini? Dalili gani alihisi?
Kwani wewe husikilizi vyombo vya habari? Husomi kwenye mitandao na hata husikii viongozi mbalimbali wakiongea au ndio kujitia hamnazo?
Sasa aje akuambie ili iweje? Yeye kapimwa kakutwa na mdudu, kapambana kafanikiwa kumshinda. Au una mashaka na taarifa yake? Je akikuthibitishia kea taarifa ya uongo ndo utaamini...Wewe ndio hamnazo mkuu ,unajua variant maana yake? Sio kila kitu kujifanya mjuaji...Kuna immunity sio kila mtu akipata corona anaonyesha dalili sawa na mwingine...Swali langu ni specific kwake sio general au haujui kuna wengine wanapata corona na hawaonyeshi dalili? Shule mlienda kusomea UJINGA?
why???Jabir mtangazaji mzuri asiye na nyota.