TANZIA Mtangazaji Jerry Springer afariki dunia

Protect

Senior Member
Joined
Apr 4, 2020
Posts
103
Reaction score
362


Mtangazaji Jerry Springer amefariki dunia

Kwa mujibu wa familia yake, Jerry Springer amefariki kutokana na ugonjwa wa Cancer

Jerry Springer amefariki akiwa nyumbani kwake katika jiji la Chicago, amefariki akiwa na umri wa miaka 79

Jerry Springer alikuwa mtangazaji wa kipindi chake maarufu sana cha talk show kinachoitwa The Jerry Spinger Show
 
Nilikuwa mshabiki sana wa kipindi chake..

Apumzike..
 
Daa mwamba huyu alitengeneza umaarufu sana katika kipindi chake hicho

Yaani ngumi nje nje
Nilikuwa naangalia miaka ya 90 alipoanza kama kipindi cha siasa na kuwahoji watu maarufu na baadae kubadili na kuwa tofauti kabisa

Apumzike anakostahili
 
Nakumbuka nilikuwa mpenzi wa hiki kipindi back in 2006 to 2008nikiwa bado mwanafunzi. Rip jerry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…