TANZIA Mtangazaji Jerry Springer afariki dunia

Hicho kipindi watu walikuwa wakiraruana kwerikweri

Ova
 
Daa mwamba huyu alitengeneza umaarufu sana katika kipindi chake hicho

Yaani ngumi nje nje
Nilikuwa naangalia miaka ya 90 alipoanza kama kipindi cha siasa na kuwahoji watu maarufu na baadae kubadili na kuwa tofauti kabisa

Apumzike anakostahili
Bongo sahv ndiyo wanajaribu kuiga
Mambo vipindi aina hii

Ova
 
"your are not the father..."

Bonge la aibu kwa mwanamke hapo

Kipindi chake aibu nje nje ngumi nje nje kati ya wapenzi au familia

R.I.P
 
Ma Legend wanasepa, aliondoka mzee wa sozpenda Larry King now Jerry Springer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…