Mtangazaji Khalid Gangana wa TBC aonyesha Ukengeukaji mkubwa mbele ya Makonda Studioni

Naona ni mtu mmoja tu ndio ka like comment yako

Ha ha ha haaaaaaaaaa

Unaangalia nini


Toka lini anayechomwa na ukweli anapenda.... jisikitikie... nina miaka mingi humu likes hazinipi homa kabisaaaaaaaaa... mimi natwanga tu yangu.
 
bila shaka ww mwenyewe unajishtukia ulichoandika ni pumba pumbafu. hizo kaz za kupewa unajinyea mwenyewe na huku unajicheka

Acha maneno machafu as inaonyesha wewe upo hivyo

Kaaa na hewa hiyo ulipo...eeeeh
 
Wewe utake kujua kama nani!!! Boss wake au mkeweee??? Nini unacho taka?? Umamtaka Makonda au cheo chake?? Unayajua mangapi yasiyo kuhusu?? Je unajua history ya baba na mama yako au mke kama sio mume?? Hebu tufanye yaliyo muhimu kwetu, binafsi sina Muda kujua yako maana hata wewe yangu huyajui!!! Pilipili usiyo kula yakuwashia nini atiii??
 
Mbona watu wanahangaika sana na kumfuatilia Makonda, enhh, vyombo vya habari vimejitahidi kumsusia kutoa habari zake, ila watu mkisikia anaongea mahali mnaacha shunguli zenu mnakimbilia kumsikiliza.

Inaonesha vyombo vya habari vimekatili kiu ya wananchi ya kupata habari zake. Watu si mkae kimya. Maisha yaendeeee, Makonda Makonda, kulia kushoto Makonda. loooh.
 
😀😀😀😀 mkuu msamehe bure alikuwa anatetea ugali wake.....inawezekana alikuwa na maswali tayari...aulize yake afukuzwe.....kama nape alipigwa chin basi mtangazaji ni kazi rahis mno kupigwa chin....
 
Yaani kweli Makonda ni homa ya Jiji. Ni habari inayouzika
 
Cha ajabu utakionaje wakati wewe mwenyewe ni wa ajabu.
 
Hayo maswali ya kumhoji itakuwa alipewa na bashite mwenyewe kabla ya interview na ndo maana alikuwa hajui anafanya nini .!!
 
Huyu jamaa bashite anatakiwa ahojiwe na watu wenye roho ngumu kama MASOUDY KIPANYA.
 

Mji wake Kolomije sio Dar.
 
Cocochanel [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Muite huyo Makonda ufanye naye kipindi
 
Muite huyo Makonda ufanye naye kipindi

Ataishia kuniteka tu Mkuu kwani kwa jinsi nilivyo very Critical hakuna swali langu hata moja ambalo ataweza kulijibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…