Mtangazaji Khalid Gangana wa TBC aonyesha Ukengeukaji mkubwa mbele ya Makonda Studioni

Usitupigie kelele,aliyekutuma usikilize au uangalie TBC ni nani? Wezako tuliacha kuangalia hiyo station.na kwa nini unaendelea kufuatilia habari za Bashite? Tuepushe na habari yako huko
 
Bahati bzuri huwa si sikilizi wala kuangalia tbc na wala sijui kama zipo
 


Maswali magumu kama yako huulizwa na watu wanaojitambua na walioshiba lakini wenye kiu na njaa ya madaraka, ukubwa na mengineyo maswali kama hayo ni chukizo kwa mpendwa wa baba ambaye wanadhani labda kwa kuwa karibu naye wataonwa.
 
TBC1 na Kaka yao wote Ni Chama kimoja, sasa watapinganaje?
Acha wajitawale tu kwani ni Msimu wa baba yao.
Tuwaombee tu msimu Wao Upite haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…