Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Habaru zinasema huenda akatimkia Usafini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanasaka green pasture.mm naona huko wanakoita sijui wasafwa ama wasafi kumekuja kuharibu watangazaji wetu,, kila mtangazaji ananunuliwa na hicho kiredio [emoji343] ,
Kuna nini huko, muende mkawanunue na watangazaji wa ile radio [emoji343] inayoitwa TBC maana kwenu imekuwa fashion sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua huko wanakoenda wanalipwa shilingi ngapi na walikotoka walikuwa wanalipwa shilingi ngapi?Hiki wanachofanya Wasafi huenda kikaleta mapinduzi makubwa kwenye tasnia ya habari hasa kwenye upande wa thamani ya watangazaji mana wengi wao hawathaminiwi na vimishahara vyao ni vinasikitisha sana
Habaru zinasema huenda akatimkia UsafiniView attachment 1358070
Hii ni Radio na TV, na bahati nzuri TV yao ipo AZAM na ipo DSTV , hivyo mbona wamekula shavu sana , tutakuwa tunawacheki wana kama ujuavyo wasafi tv iko moto mbayamm naona huko wanakoita sijui wasafwa ama wasafi kumekuja kuharibu watangazaji wetu,, kila mtangazaji ananunuliwa na hicho kiredio [emoji343] ,
Kuna nini huko, muende mkawanunue na watangazaji wa ile radio [emoji343] inayoitwa TBC maana kwenu imekuwa fashion sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujui lakini binadamu timamu hawezi kuacha sehemu anayolipwa pesa nyingi kwenda sehemu anayolipwa pesa ndogo bila sababu ?haipo hiyo sahauUnajua huko wanakoenda wanalipwa shilingi ngapi na walikotoka walikuwa wanalipwa shilingi ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongereni ss huku kijijini ngoja tuendelee kusikiliza radio ambazo haziko kwenye visambusiHii ni Radio na TV, na bahati nzuri TV yao ipo AZAM na ipo DSTV , hivyo mbona wamekula shavu sana , tutakuwa tunawacheki wana kama ujuavyo wasafi tv iko moto mbaya