Mtangazaji Lily Ommy aondoka rasmi times fm

Hiki wanachofanya Wasafi huenda kikaleta mapinduzi makubwa kwenye tasnia ya habari hasa kwenye upande wa thamani ya watangazaji mana wengi wao hawathaminiwi na vimishahara vyao ni vinasikitisha sana
Unajua huko wanakoenda wanalipwa shilingi ngapi na walikotoka walikuwa wanalipwa shilingi ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itabidi na kwenye media kuwe na financial fair play kama kwenye mpira sasa, maana naona imekuwa kama psg wanavyomwaga pesa kusign masupastaa

Sent from my ONEPLUS A5010 using Tapatalk
 
Ommy, hapa.Times tulikupenda ila Wasafi wamekupenda zaidi, nenda kaka. Riziki ni popote kaka.
 
UFM (Azam Media) or Wasafi, mwenye kisu kikali ndiye mla nyama.
 
Hii ni Radio na TV, na bahati nzuri TV yao ipo AZAM na ipo DSTV , hivyo mbona wamekula shavu sana , tutakuwa tunawacheki wana kama ujuavyo wasafi tv iko moto mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…