Mtangazaji Mkongwe Peter Drury Aondoka rasmi Premier League Productions

Nature

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2014
Posts
830
Reaction score
2,241
Kwa wale wapenzi wa Soka la Kimataifa, hasa ligi kuu Ya Uingereza kwenye big match basi watakuwa wanamfahamu huyu mtangazaji mahiri wa mpira wa miguu Mr Peter Drury

Sasa ni rasmi kwamba anaondoka Premier league productions hivyo hatosikika tena. Kwa wale wapenzi wa Supersports na BT sports hili ni pigo kwa maana hatosikika tena katika matangazo ya Premier League.
images%20(12).jpg
images%20(11).jpg

Daah jamaa alikuwa kiboko huyu baada ya kuondoka champion jamaa aliziba nafasi vilivyo naona wa marekani wamefika bei nzuri
 
Kwa wale wapenzi wa Soka la Kimataifa, hasa ligi kuu Ya Uingereza kwenye big match basi watakuwa wanamfahamu huyu mtangazaji mahiri wa mpira wa miguu Mr Peter Drury

Sasa ni rasmi kwamba anaondoka Premier league productions hivyo hatosikika tena. Kwa wale wapenzi wa Supersports na BT sports hili ni pigo kwa maana hatosikika tena katika matangazo ya Premier League.View attachment 2260260View attachment 2260261

Ame staafu? Ameacha kazi? Anaenda kituo kinginee?
 
Kwa wale wapenzi wa Soka la Kimataifa, hasa ligi kuu Ya Uingereza kwenye big match basi watakuwa wanamfahamu huyu mtangazaji mahiri wa mpira wa miguu Mr Peter Drury

Sasa ni rasmi kwamba anaondoka Premier league productions hivyo hatosikika tena. Kwa wale wapenzi wa Supersports na BT sports hili ni pigo kwa maana hatosikika tena katika matangazo ya Premier League.View attachment 2260260View attachment 2260261
Aende tu,.huwa anainanga sana Manchester united

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah jamaa alikuwa kiboko huyu baada ya kuondoka champion jamaa aliziba nafasi vilivyo naona wa marekani wamefika bei nzuri
Ndiyo anahamia CBS sports...
 
Back
Top Bottom