Kwa wale wapenzi wa Soka la Kimataifa, hasa ligi kuu Ya Uingereza kwenye big match basi watakuwa wanamfahamu huyu mtangazaji mahiri wa mpira wa miguu Mr Peter Drury
Sasa ni rasmi kwamba anaondoka Premier league productions hivyo hatosikika tena. Kwa wale wapenzi wa Supersports na BT sports hili ni pigo kwa maana hatosikika tena katika matangazo ya Premier League.View attachment 2260260View attachment 2260261
John champion hamfikii peter Drury jamaa ana misemo ambayo hakuna comentetor mwingine anayoDaah jamaa alikuwa kiboko huyu baada ya kuondoka champion jamaa aliziba nafasi vilivyo naona wa marekani wamefika bei nzuri
Aende tu,.huwa anainanga sana Manchester unitedKwa wale wapenzi wa Soka la Kimataifa, hasa ligi kuu Ya Uingereza kwenye big match basi watakuwa wanamfahamu huyu mtangazaji mahiri wa mpira wa miguu Mr Peter Drury