MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Akiwa katika muendelezo wake ule ule kwa Kuichukia Simba SC, Kuizodoa Simba SC na hata Kuichafua kwa kila namna Simba SC kwa Gharama za kuwepo katika Payroll ya GSM na Mahaba yake niue kwa Klabu yake ya Yanga leo Mtangazaji wa EFM Maulid Kitenge Kaumbuka na Kaumbuliwa pia.
Klabu ya Simba ilipokuwa ikikaribia Kucheza na Mtibwa Sugar FC katika NBC Premier League Manungu Complex ( ambako Mechi ilimalizika kwa Suluhu ) Mtangazaji Maulid Kitenge alikuwa akitumia muda mwingi kutokana na Upuuzi na Ujuha wake Kuwaaminisha Uwongo Wasikilizaji wake kuwa mwaka 1999 Simba SC iipocheza na Mtibwa Sugar FC Manungu ilifungwa Goli 3 na Mechi kuishia katikati.
Mara baada ya Uwongo huu na Uzushi huu uliozoeleka na Mtangazaji wa hovyo hovyo wa Michezo kuwahi kutokea nchini Tanzania Maulid Kitenge kwa Mshangao kabisa hadi Watangazaji wengine wa Vipindi vya Michezo na Wachambuzi wa Michezo nchini wakaamini na Wao kwa Ujuha wao wakawa Wanashadadia na Kuhanikiza ilimradi tu Kuizodoa Simba SC ili wakienda pale Posta zilizopo Ofisi za Tajiri GSM wadake ( wapewe ) chochote Kitu ( Pesa ) kutokana na Njaa na Tamaa zao.
Leo akiwa Kipindini Kwake ( katika Kipindi chake ) EFM Sports Headquarters Program kama kawaida yake kuwa ni Mtu wa Kukurupuka na Kuhemka kama Mtoto wa Kike au Mwanamke Mtangazaji huyu Maulid Kitenge alianza Kuizodoa Simba SC kwa Kushindwa kuifunga Mtibwa Sugar FC huku akihanikiza kwa Bashasha zote kabisa Ushindi wa Klabu yake pendwa ya Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar FC kwa kusaidiwa na Mtangazaji Mwenzake anayechipukia kwa Ujuha ( Foolishness ) Kiutangazaji Twalib Othman Muwa akakumbana na Kigingi Kizito.
Haraka sana Kiherehere chake Mtangazaji Maulid Kitenge kikamtuma amtafute Mwamuzi Mkongwe Moses Nguye ambaye ndiye aliyechezesha Mechi ya Simba SC na Mtibwa Sugar FC mwaka 1999 akiwa anategemea au anaamini kuwa huyo Mwamuzi ni Juha ( Fool ) kama alivyo na atashadadia au atamuunga mkono kwa Uzushi wake alioueneza kwa Kuichukia Kwake Simba SC kuwa ni kweli Simba SC ilifungwa hizo Goli Tatu ( 3 ) katika hiyo Mechi.
"Mauld Kitenge Mimi Mwamuzi Mkongwe na Mstaafu Moses Nguye ndiyo niliichezesha hiyo Mechi kati ya Simba SC na Mtibwa Sugar FC katika Uwanja wa Manungu mwaka 1999 ambapo Mechi hiyo iliishia tu dakika ya 33 Kipindi cha Kwanza baada ya Kumpa Kadi Nyekundu Kipa wa Simba SC wakati huo Mohammed Mwameja. Nasikitika mno Wewe na Watangazaji Wenzako mnavyopotosha kuwa hiyo Mechi ilimalizika kwa Simba SC Kufungwa Goli Tatu wakati ukweli ni kwamba mpaka dakika hiyo ya 33 nasimamisha huo Mchezo Timu zote zilikuwa wala hazijafungana"
Mara baada ya Mtangazaji wa hovyo hovyo wa Michezo nchini Tanzania Maulid Kitenge Kuumbuka huko haraka sana akamuaga na akaanza Kuzuga kwa Kuongelea Story za Safari yao EFM Jogging Club kwa kutumia Ndege ya Precision Air Mkoani Kilimanjaro ( Moshi ) ambako Wamealikwa na Yeye akiwa ni Mmoja wa Wakimbiaji Waandamizi wa hicho Kikundi.
Ninatumai kuanzia leo amejifunza Kitu!