Tuma picha mkuu tuone, huwezi kula nyama bila toothpickKuna vita inaendelea kwenye social media kati ya watu wawili anbao wanajulikana ni wana Msimbazi kinda kindakindaki.
Kila kijembe cha Dauda kinajibiwa kwa kuikasfu Yanga ambayo haina uhusiano na ugomvi wao.
Kila kombora la Shafii linajibiwa kwa kuikejeli Yanga. Vyema Haji akajua namna ya kupigana vita yake.
Au Shafii anaiwakilisha Yanga kwenye ugomvi wao? Kwenye vita, kwanza mjue adui yako.
Umewahi kusema penye simba pana yanga na penye yanga pana simba.Kuna vita inaendelea kwenye social media kati ya watu wawili anbao wanajulikana ni wana Msimbazi kinda kindakindaki.
Kila kijembe cha Dauda kinajibiwa kwa kuikasfu Yanga ambayo haina uhusiano na ugomvi wao.
Kila kombora la Shafii linajibiwa kwa kuikejeli Yanga. Vyema Haji akajua namna ya kupigana vita yake.
Au Shafii anaiwakilisha Yanga kwenye ugomvi wao? Kwenye vita, kwanza mjue adui yako.
Hawa jamaa wanataka kutuangushia jumba bovu,Simba hatuna mdau wa hovyo kabisaUsipotoshe mkuu Shafii ni yanga lialia. Lini kahamia Simba?
Hao wote Simba mkuuUmewahi kusema penye simba pana yanga na penye yanga pana simba.
Shaffi si Yanga cos ameshajaribu kugombea nafasi kadhaa ndani ya Simba, na hata Manara huwa anamponda kuwa kukosa uongozi Simba ndo sababu ya kuipondaUsipotoshe mkuu Shafii ni yanga lialia. Lini kahamia Simba?
kusema underdog na kuikubali hali husika ni kuwa vunjà mrali wachezaji... na manara kama sehemu ya uongozi hawezi ruhusu hilo kwa timu yake...Manara anajitahidi katika majukumu yake...ila kwenye hili anatumia ngivu nyingi sana bila sababu.
Kuna facts ngumu kupingana nazo ikiwamo Simba kuwa underdog kwenye kundi lake...,kitu hiki sio matusi kwa Simba na haimaanishi ndio itakufunga mkia kwenye matokeo.
Ila kwa kuwa akakula kwa kubwabwaja, acha aendelee.
Kwangu mm naona ndio inasaidia kuongeza morali kwa wachezaji maana itawafanye watumie nguvu kubwa kubakikisha timu kubwa haiwezi kushinda.kusema underdog na kuikubali hali husika ni kuwa vunjà mrali wachezaji... na manara kama sehemu ya uongozi hawezi ruhusu hilo kwa timu yake...
ana tumia nguvu nyingi kusema ana weza hata kama hawezi, yeye ni muhamasishaji mzuri...
ni kama mzazi na mwanae, huwezi mwambia mwanao kichwa box au utafeli mitihani ni migumu na wewe nikilaza...
hivyo Manara yupo sahihi kwa hilo... simba sio underdog ni timu kubwa yenye kuweza kutoa ushindani...
kama swala ni hilo basi shaffih kachemka...!