Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Sio "Kamtu" [emoji28][emoji28][emoji28]Inakuwaje UTV hamna huruma. Mnaona huyu Yvonna Kamtu Ana kikohozi Cha kufa mtu lakini anaingia kutangaza habari saa 2. Yaani amebanja hadi sauti paaaaa. Hamna watangazaji wa akiba? Sijapenta
Inakuwaje UTV hamna huruma. Mnaona huyu Yvonna Kamtu Ana kikohozi Cha kufa mtu lakini anaingia kutangaza habari saa 2. Yaani amebanja hadi sauti paaaaa. Hamna watangazaji wa akiba? Sijapenta
🤣🤣🤣🤣Umesikia kikohozi tu lile shuziiii ujalisikia🤣🤣
Naomba nikuulize eti wewe ni binti wa rais wangu kipenzi mzee E. Lowassa!!Inakuwaje UTV hamna huruma. Mnaona huyu Yvonna Kamtu Ana kikohozi Cha kufa mtu lakini anaingia kutangaza habari saa 2. Yaani amebanja hadi sauti paaaaa. Hamna watangazaji wa akiba? Sijapenta