TANZIA Mtangazaji Violet Mzindakaya amefariki

TANZIA Mtangazaji Violet Mzindakaya amefariki

Albert Alinanuswe

Senior Member
Joined
Oct 2, 2017
Posts
196
Reaction score
274
Taarifa ndio hiyo, Sister V aliyekuwa mtangazaji wa Radio Uhuru, mtoto wa Kiongizi Mkongwe hapa nchini Chrisant Majiyatanga Mzindakaya, amefariki. Tulikuwa nae Taifa juzi kwenye mechi ya Yanga na Simba na leo, ndugu yake Ben Mwanantala, amethibitisha kifo cake.

Violet.PNG
 
Alikuwa mgonjwa au ni nini kimemkumba!
 
Pumzika kwa amani, Mungu awatie nguvu wafiwa na tegemezi waliobakia!
 
Back
Top Bottom