Mtangazaji wa azam Rehema Salim ananikosha

Mr Hero

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
5,540
Reaction score
7,455
Huyu dada bwana namzimikia hasa utangazaji wake, ametulia anaongea kwa utaratibu, nimemfahamu Muda toka akiwa ITV na akiwa kwenye gazeti la KIU jamani mwenye namba yake anisaidie japo nimpe hongera live
 
Mi nakumbuka alianziaga radio one akiwa anatangaza kipindi cha chombeza. Enzi zile kipind kinawika kweli
 
Huyu dada bwana namzimikia hasa utangazaji wake, ametulia anaongea kwa utaratibu, nimemfahamu Muda toka akiwa ITV na akiwa kwenye gazeti la KIU jamani mwenye namba yake anisaidie japo nimpe hongera live
Kaolewa, angalia usije ukaishia shimo la tewa.
 
Kama unataka picha yake angalia Azam Tv
 
images
 
Back
Top Bottom