Kaolewa, angalia usije ukaishia shimo la tewa.Huyu dada bwana namzimikia hasa utangazaji wake, ametulia anaongea kwa utaratibu, nimemfahamu Muda toka akiwa ITV na akiwa kwenye gazeti la KIU jamani mwenye namba yake anisaidie japo nimpe hongera live
Haya, shauri yako lakini.nataka kumpa sifa zake tu sio zaidi