Mtangazaji wa BBC John Ngahyoma is no more

Mtangazaji wa BBC John Ngahyoma is no more

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
2,855
Reaction score
402
Jamani,

Nasikia amefariki asubuhi ya leo.

Chanzo:
Idhaa ya Kiswahili ya BBC jioni leo tarehe 30 Desemba 2011.
 
Kwa kweli imenisikitisha sana. Jana ilikuwa mwanahabari maarufu Halima Mchuka na leo John Ngahyoma. Namwomba Mungu awafariji wafiwa na hasa ndugu wa karibu na marehemu.
 
Jamani,

Nasikia amefariki asubuhi ya leo.

Chanzo:
Idhaa ya Kiswahili ya BBC jioni leo tarehe 30 Desemba 2011.

Habari hii iko kule celebrities tangu asubuhi mkuu na jf wanaendelea kutoa rambirambi zao mpaka sasa
 
..very sad indeed.

..majuzi tu nimeona picha ya mama yake kule michuzi blog.

..r.i.p John Ngahyoma.
 
Back
Top Bottom