Gosbertgoodluck JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 2,855 Reaction score 402 Dec 30, 2011 #1 Jamani, Nasikia amefariki asubuhi ya leo. Chanzo: Idhaa ya Kiswahili ya BBC jioni leo tarehe 30 Desemba 2011.
Jamani, Nasikia amefariki asubuhi ya leo. Chanzo: Idhaa ya Kiswahili ya BBC jioni leo tarehe 30 Desemba 2011.
Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 33,771 Reaction score 41,027 Dec 30, 2011 #2 Oh what a sad news indeed. May his soul rest in eternal repose.
Kingcobra JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 1,000 Reaction score 310 Dec 30, 2011 #3 Kwa kweli imenisikitisha sana. Jana ilikuwa mwanahabari maarufu Halima Mchuka na leo John Ngahyoma. Namwomba Mungu awafariji wafiwa na hasa ndugu wa karibu na marehemu.
Kwa kweli imenisikitisha sana. Jana ilikuwa mwanahabari maarufu Halima Mchuka na leo John Ngahyoma. Namwomba Mungu awafariji wafiwa na hasa ndugu wa karibu na marehemu.
Idimulwa JF-Expert Member Joined May 27, 2011 Posts 4,944 Reaction score 2,459 Dec 30, 2011 #4 Gosbertgoodluck said: Jamani, Nasikia amefariki asubuhi ya leo. Chanzo: Idhaa ya Kiswahili ya BBC jioni leo tarehe 30 Desemba 2011. Click to expand... Habari hii iko kule celebrities tangu asubuhi mkuu na jf wanaendelea kutoa rambirambi zao mpaka sasa
Gosbertgoodluck said: Jamani, Nasikia amefariki asubuhi ya leo. Chanzo: Idhaa ya Kiswahili ya BBC jioni leo tarehe 30 Desemba 2011. Click to expand... Habari hii iko kule celebrities tangu asubuhi mkuu na jf wanaendelea kutoa rambirambi zao mpaka sasa
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Dec 30, 2011 #5 ..very sad indeed. ..majuzi tu nimeona picha ya mama yake kule michuzi blog. ..r.i.p John Ngahyoma.