Mtangazaji wa clouds adam mchomvu aonyesha shamba lake la bangi

Picha ya bangi inajitegemea wala haihusiki, mleta uzi ndio ameiunganishia..........Ila we changia/comment chochote tu.....hivyohivyo......kama nilivyochangia mimi..........

Sawa Mkuu wangu. duh!
 
Clouds Media hawajali huu upuuzi wa hawa vijana wao.

Ukifanya tathmini kwa jicho la tatu, hapo Clouds FM utawapata watangazaji wachache sana wenye akili timamu. Kuna mropokaji namba 1, anaitwa Mbwiga.
Bado wapiga soga wa kipindi cha saa kumi (siku za kazi). Yaani wao kila kitu wanajua.
Clouds ni opportunist, hivyo, hata wakiajiri wehu hawajali, bali wanaangalia ni vijana mapimbi wangapi wamewaburuza.
 
picha ya bangi inajitegemea wala haihusiki, mleta uzi ndio ameiunganishia..........ila we changia/comment chochote tu.....hivyohivyo......kama nilivyochangia mimi..........

aiseeee
FYATU.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…