Mtangazaji wa Clouds, Diva the Bawse afunguka ya moyoni kuwa hawezi kuzaa kisa matatizo kwenye uzazi

kwanza pole kwa hillo tatizo lakini pili napenda kutoa comment yangu kuwa hili ni fundisho kwa wanawake wote kuwa endapo ikatoka bahati mbaya mimba ikaalibika au kwa wale wauaji wa makusudi wajitahidi kufanya usafishaji mzuri kwenye matumbo yao tena kwa madaktari wenye taaruma ya maswala ya uzazi.. Chanzo cha tatizo ni kutokusafisha vizuri ndiko kulikopelekea kuziba kwa milija hiyo...ila ,umgu yupo atakusaidia mtoto mzuri kama wewe huwezi kukosa milioni 16 ya kufanyiwa matibabu hayo
 
Jina la GISSELE tumelijua wakati wa shida na kwann unajiita the boss halaf unalialia kukosa chenj kidogo hivyo? Miaka yote kufanya kazi clouds kumbe unafanyia kujaza tumbo tu?? Pesa alizoiba baba yako TFF kweli kakosa kukuongezea?? Uliona fahari kuchoropoa mimba sasa hilo janga umelichuma unataka kulila na nani??
Mpunguze kujishaua hovyohovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka jana nilihoji hapa
Diva the boss alihojiwa akasema analipia apartment tsh 2,000,000/- kwa mwezi, kwa mshahara gani?
Milioni 10 kwa mwezi au?!!!

Leo anaomba msaada wa dola 7000
Kwa Hesabu za kawaida milioni 2 kwa miezi 8 ni milioni 16
Sasa anashindwa nini mpaka aombe msaada?!
Ndio maaana watu wana mkejeli insta.
Mara mwanaume wa kumuoa alipe mahari million 500.
Mara simu milioni 3.7
Mara BMW million ngapi sijui
Wa kishua
Levels baby
Kingereza kingi

KARMA IS A '............
 
tatizo la mastar was bongo wanaact waja maisha mazuri hawajui shida wakipatwa na shida wanaumbuka
lakini hakuna mkamilifu mungu amsaidie
 
Hivi baba yake si aliiba hela za kutosha toka TFF, yaani unataka kuniambia dingi alikuwa anaiba lakini anahonga machangu bila kusevu? Kingine, Diva aache kugawa uroda kwa mkopo ndiyo maana halipwi, siku hizi hela zimeadimika mno zikikuona tu zinakukimbia zenyewe kwani hazitaki kutumiwa.
 
hivi USD 7000 ni bei gani za kibongo?

million 16 kwa Diva??? kweli? anaendesha gari gani? kwanini asiuze gari aongeze matibabu.

Kuna watanzania Wengi wanahitaji msaada wa USD zaidi 7000 na hawana kazi na gari.

Nadhani account yake wameihack.
 
mtoto mzuri hivo anakosa dola 7000? hao anaopita nao wanampaga kiasi gani?au wanamkopa

Kama usemavyo, ni kweli anagawa uroda kwa mkopo na halipwi kwani siku hizi hakuna hela za wizi kama zama zile. Kila mtu anatunza familia yake. Ampigie baba yake simu jela amletee zile hela za wizi alizoiba TFF.
 
Huyu si ndio alimpata mchumba wa mahari ya milioni 500? Vitu vingine huwa tunajiharibia wenyewe... Alijipa thamani kubwa kupitiliza akamsahau Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kuna siku alhojiwa akasema kwake ""kutumia. M6,M4 kwa siku sio jambo la ajabu nadhan watu wote wanajua am the bawse""

Niliumia sana ukizangatia mda uo hata sijala sababu ya buku tu sina
 
Sasa hapa ndio nimepata the real picture ya hawa wanaoitwa celebrities. Ukiunganisha na stori ya Marehemu Mzee Majuto mpaka wakina Mwakiembe kuingilia kati life is not that it look kwa wao. Nawaonea huruma sana!!! ama kweli mdomo haujengi nyumba. $7000!!!!!! kwa mtu maarufu kama yeye!!! hapa nadhani yule anaeitwa Wastara ameamsha ari ya wengine kutandaza bakuli maana hela inaingia vizuri. Hata mabosi wa Clouds wameshindwa kumchangia ama kumpa mkopo wa $7000 na mbwembwe zote za clouds!!! Jamani nisaidieni whats going on here? Na wadada wa JF na nyinyi muache kuturingia aisee. Hakuna mwanamke anaemsaidia mwanamke mwenzake, ni sisi wanaume mwisho wa siku ndio tunakusaidieni. Hao wote wanawake wenzake kwenye huu uzi waliishia kumpa maneno tu eti awe public atawasaidia na wengine uzungu huo mmeutoa wapi. Kiingereza kiingi this that this... usikute huko waliko wanamcheka pembeni
 
Levels baby!
Levels
Nina pesa ninezaliwa katika familia ya kitajiri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…