M2mwembamba
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 2,491
- 1,095
Diva kaungua...kitambo sana.
Ukibisha bas we mbishi..
Wote wale kina mketema wote,ukibisha we mbish.
Am off.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana yake hiyo michango anaifanya kama ndo 'insurance'!Alete ushahidi wa rufaa ya muhimbili kuwa hawaiwezi hiyo kazi. Pili huyu dada aliwahi kujitangaza kuwa ghorofa lake lipo hatua ya mwisho, Auze ghorofa ajenge nyumba ya kawaida kisha pesa nyingine akafanyie matibabu.
Wapo watu wana shida zaidi yake siwezi poteza pesa yangu kuchangia mtu anayejiweza. By the way anatafuta vipi mimba bila mume maana kwenye andiko lake anazungumzia masuala ya sperm donor! Hiki ni kichekesho, unawezaje kutafuta mimba wakati huna mume? Tutaamini vipi kama ana tatizo la uzazi wakati hana mume!! Logically spermdonor anapaswa kuwa mume na si vinginevyo!!! Stori yake imekaa kitapeli tapeli sana.
Mtu uliyejitapa huolewi bila M.500 leo unakosa hata 15M!!. Wasanii/watu maarufu waache tabia ya kuishi maisha ambayo sio yao halafu mwisho wa siku wanaishia kugeuka maombaomba tu. Wajifunze kuwa kabla ya kuomba angalia rasimilimali zako ziuze, kisha watafute ndugu zako wachangishe baada ya hapo nenda kwa jamaa zako wa karibu ukishindwa ndio uanze kutembeza bakuli publicly
Sent using Jamii Forums mobile app
exactly! Hivyo ndivyo anavotaka bila shakaMaana yake hiyo michango anaifanya kama ndo 'insurance'!
Yani akatibiwe,akaishi kule apate sperm donor na bado akirudi isiwe imeathiri hali yake ya kifedha.
Una uhakika yeye hakatoa, mavidonge na kuvuruga mfumo wa uzazi kwa mavyuma ni adhabu hiyo shetani ana mnyoosha..!Life isn't fair. Kuna watu wanazitoa kila siku hizo mimba wengine wanazihangaika kama hivyo maskini.
Mungu wetu ni mwaminifu atampa wakati wake ukifika.
Pole kwake Diva
Sent using Jamii Forums mobile app
Diva the boss akutafute,shida yake itakwisha.Mmmh hivi siyo huyu mwenye ghorofa?
Mtoto akipatikana tutaanza kuringishiwa tumbo mpaka Chotara wake.Yaani hela tumchangie sisi ila SPERM anataka za wazungu...
INALILLAH WA INALILAHI RAJIUN!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ku act maisha.
Huwaga mpo kimbele front kuwapakazia watu Magonjwa makubwa makubwa as if ninyi mmepima!!Diva kaungua...kitambo sana.
Ukibisha bas we mbishi..
Wote wale kina mketema wote,ukibisha we mbish.
Am off.
Sent using Jamii Forums mobile app
SIJUIUna uhakika yeye hakatoa, mavidonge na kuvuruga mfumo wa uzazi kwa mavyuma ni adhabu hiyo shetani ana mnyoosha..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisha akipata hiyo mimba nyodo itarudi mara elfu moja zaidi.
Historical background yake kwa jamii ni kichefuchefu. Sometime Mungu anamhurumia mtoto wa kuzaliwa na mama mdangaji kama yule anaona bora akazaliwe na maskini mmoja kijijini afu yeye atambariki ajuavyo.
π π π πHuyu ndo aliyesema wanaume wa Tz mnanuka[emoji3]
Mchangieni dada yenu
Hahaha kuna siku alhojiwa akasema kwake ""kutumia. M6,M4 kwa siku sio jambo la ajabu nadhan watu wote wanajua am the bawse""
Niliumia sana ukizangatia mda uo hata sijala sababu ya buku tu sina