TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

R.I.P.Ephraim.Lakini ni nini hasa kinaendelea Clouds?Ni swali ambalo persobally linani-disturb sana.
 
We all die the goal is not to live forever, the goal is to create some thing that will.
 
Write your reply...
hapa kuna kitu,mkuu wa ukoo inabidi aitishe kikao cha dharula na wazee wenzake ili kuagua huenda kuna mtu media anatafuna wenzake
 
Bila shaka wewe ni mhaya maana neno "ameshamaliza" nyie mnaandika/tamka "ameishamaliza"
Btw umeeleweka mkuu....
 
Hata mimi najua,but that might not be all.Kuna nini Clouds nyuma ya pazia?


Hahahaha dah nacheka kama mazuri...............sasa hivi CCTV Camera itaangazia upande wa ile Radio mupya ya wandengereko..... hah

RIP Kibonde, nenda kaka.
 
hawa watangazaji wa clouds inabd wakae chini waongee na wataalam wa psychology maana wanaweza kukatika wote

Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli kabisa ingewezekana hata wakapumzika au hata kurelocate kidogo........maana wanaweza athirika kimsongo mfano hapo wenye pressureza kupanda na kushuka na matatizo ya moyo wanaeza pata shida sana
 
Amina barikiwa sana na Bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…