TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

Ukiangalia sura zao watoto wa Ephraim Kibonde utaona wanawaza vingi sana, huzuni zimewatawala kwani wamepoteza BabaView attachment 1041657

Unapoteza baba, mwangalizi, mwezeshaji, mlezi, mlinzi, mtu wa kwanza kumkimbilia wakati wa shida yoyote ile, mshauri na rafiki yenu.

Huu ndo wakati wa Ephraim Junor kusimama kama baba na kuchukua nafasi hiyo kuwaangalia wadogo zake.

Babu yupo lakini anahitaji kupumzisha akili ili asiwaze sana kutokana na umri.
 
Hali ilivyokuwa kwa watoto wa Ephraim Kibonde baada ya kufika makaburini ili kuweza kumpumzisha Baba yao kwenye makazi yake ya milele.
 
Wanahabari wako makini sana kuliko hata serikali,hawatangazi ovyoovyo bila kujirihidhisha.Ni kweli mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi haipo hio na usione wamependeza ukadhan wanapenda wengi wanatakiwa wawe hivyo na ukute ni sare basi atatakiwa aivae na watu wa karibu watamsaidia kumvalisha.
Aaahhh nikajua labda nikujivalia tu maana kama ningekuwa mimi zile za juzi wakati watukio ndio izo izo mpaka tukio kuisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…