Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Nongwa ya Nini sasa wakati nimeuliza tu...🙁Kwa hiyo mtu asipoonekana siku moja kazini nongwa?
typing error but content inajieleza vizuri...Unauliza bila ?, hiyo tayari ni taarifa umetoa
Kama unamtaza anapo tangaza na project zake anazifanya hadharani lazma afatiliwe tu by the way ingekuwa naongelea mambo ya ndoa yake au ya nyumbani kwake hapo sawa,ila ishu za kuacha kazi yeye ni public figure wala sio jambo la kusema nafatilia maisha yake...konokono wewe!Hivi kuna watu bado wanafuatilia maisha ya watu binafsi kiasi hicho....
Hakuna mahali ulipoonyesha kuuliza.Nongwa ya Nini sasa wakati nimeuliza tu...🙁
ndio ujue kuwa wabongo sie ipo shida kichwaniKwa hiyo mtu asipoonekana siku moja kazini nongwa?
Ugumu wa maisha una madhara mengi.ndio ujue kuwa wabongo sie ipo shida kichwani
nimesha sema typing error....angalia paragraph ya mwisho utaelewa...kwanza hatubishani elewa ulivyoelewa i don' careHakuna mahali ulipoonyesha kuuliza.
Acha kukurupuka jombaanimesha sema typing error....angalia paragraph ya mwisho utaelewa...kwanza hatubishani elewa ulivyoelewa i don' care
Yeye ni public figure,kupitia kazi yake ametengeneza mashabiki wake nikiwamo mimi so asipoonekana hata siku mbili tu lazma uulize kulikoni maana ladha ya kipindi chake imepotea kutokana na kukosekana kwake...usichoelewa nini....Salim Kikeke anapojua kuwa hataokuwepo kwenye kipindi chake anatoa taarifa kwa fans wake huyu hajafanya hivyo ndo mana watu wanauliza hadi kwenye comment za IG watu wanamuuliza but hajibu...Its okay, kwani hujui kwenye HR kuwa kuna vertical na horizantal growth za career au nini cha ajabu hapo? Ametii kiu yake.