Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,501
mmh..kapotea siku nyingi yule dada wa kiarabu..usikute kaolewa kazalishwa katulizwa..!
Mbona wapo wengi tu hawakumbuki, kama vile Misanya Bingi, Vicky Msina, Nicky Ngonyani, Sunday Shomari, Kiyungi Nk.
kwani mtu akiwa na hamu ya embe lazima umlazimishe atamani na pera,nanasi na papai?hao umewamiss wewe wengine kawaida wawepo wasiwepo mzuka!f.y.i huyo rahma aziz alikuwa anakimbiza japo katika media hakudumu kwa muda mrefu!Mbona wapo wengi tu hawakumbuki, kama vile Misanya Bingi, Vicky Msina, Nicky Ngonyani, Sunday Shomari, Kiyungi Nk.
Khaa na atamani na Bungo pia. Huyo mtoto sasa ni -- Bungo--kwani mtu akiwa na hamu ya embe lazima umlazimishe atamani na pera,nanasi na papai?hao umewamiss wewe wengine kawaida wawepo wasiwepo mzuka!f.y.i huyo rahma aziz alikuwa anakimbiza japo katika media hakudumu kwa muda mrefu!
Rahma Aziz ndie aliyechanganyikiwa na Dube Nadhani dube hakuwa na time ya kumchukua nadhani aligonga tu akaacha baada ya kuambiwa mbele ni haramumtoto alimchanganya hadi marehem lucky dube
Mbona wapo wengi tu hawakumbuki, kama vile Misanya Bingi, Vicky Msina, Nicky Ngonyani, Sunday Shomari, Kiyungi Nk.
Yupo kwa Ritz katulizana!
Rahma Aziz ndie aliyechanganyikiwa na Dube Nadhani dube hakuwa na time ya kumchukua nadhani aligonga tu akaacha baada ya kuambiwa mbele ni haramu
acheni hizo mnaharibu