Mutambukamalogo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 397
- 85
Najua Misanya Bingi yupo UDSM anafundisha, Vicky Msina anafanya kazi BOT, Sunday shomari yuko Marekani VOA, Rahma AZIZ sijui ndio maana nikauliza
Maandamano yuko sahihi, Lucky Dume ndio alichanganyikiwa kwa Rahma akamuuliza umeolewa akajibu hapana, kisha akamwambia UISO (aliyekuwa promota wake kama sijakosea na kumleta Bongo) kuwa anatamani kumuoa Rahma so afuatilie taratibu za kutoa mahari kwao. Lakini naamini it was just a joke!
Peace Kuyamba naye yuko Marekani..anashinda KFC lakni mwili wake utafkiri Mtrukana....
next?
Najua Misanya Bingi yupo UDSM anafundisha, Vicky Msina anafanya kazi BOT, Sunday shomari yuko Marekani VOA, Rahma AZIZ sijui ndio maana nikauliza
Hujampata hadi Leo.Ngoja nimtafute
I also liked her.
Sijui kapotolea wapi
ni mwarabu??.. lo! sie kwetu tv hazikuwepogo!
mtoto alimchanganya hadi marehem lucky dube
Mwambie basi aweke na kapichaa!!!!
nimesaka picha nimekosa.. labda niku pm namba yake! lol!
Nataka hapa hapa Pm yangu haipatikanii
unataka nini hapa dina?
Pichaa ya Rahma!!!