MTANGAZAJI WA EATV ATOKA NA KEKI YA MUHENGA

MTANGAZAJI WA EATV ATOKA NA KEKI YA MUHENGA

Msolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
2,713
Reaction score
3,559
Mimi kama muhenga wa JF Kuna hii trend inayoendelea sasa hivi kuhusu wahenga nakumbuka niliwahi kumsikia mtangazaji mmoja wa Eatv anaitwa Materu wa Materuni alkuwa akitoa misemo hii kipindi cha nyuma haswa wakati anamalizia kusoma habari ndani ya kipindi cha Hotmix ana vimisemo flani hivi ambavyo mara nyingi huwa anasema "wahenga walinena...

Mfano juzi alikuwa akizungumzia kesi ya ndumbaro akamalizia kwa kusema kuwa "Furaha ya mwenye meno mwenye mapengo hacheki "huyu jamaa yupo creative sana, siku ya birthday yake kazua mpya kwa kuleta keki ya Viazi akiiita ndio ya wahenga. Inatakiwa kuwa na watu kama hawa wabunifu wanafanya habari inakuwa inavutia.

 
Sawa

Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
 
Anamuiga sana Kikeke, angetafuta identity take, been real
 
Back
Top Bottom