Mtangazaji wa ITV Farhia Middle mwenye number yake!

Farhia hyu ananikuna balaaaa,kumbeñ weng waga tunawaza eee mwenyewe hnina zawadi yake et, napenda anavyo tangaza ama hakika anatangaza uzur balaaa!!!halafu anatabasum mhuuu,angalia hasa wakat anakaribishwa kusoma habar za biashara duuu!!
 
Pole sana mkuu, yaani umetoa maelezo hadi umeeleweka vizuri sana, kama ni vipi mtokee tu ili kama ni jipu lipasuke kuliko kuliacha na usaa linakutesa bure.
 
Ila Namba hiyo itakua jipu,piga ulambwe makofi na wenye mali
 
Nipatie hiyo zawadi nmpatie, mm ni mtu wake wa karibu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…