Mtangazaji wa ITV Mabere Makubi usiangaike na ajira ITV, wiki ijayo utapata ajira nje nakamilisha mazungumzo

Njaa mbaya sana ,nyie waandishi wa habari mnachomana wenyewe! Unakumbuka jinsi walivyomsulubu Eric Kambendera ; unafikiri wakina nani waliohusika kama sio waandishi wa habari wenzie? You have a long way to go before you emancipate your profession!
 
Kazi nyingine jameni, acheni tuu, tusiseme!. Hii ni kazi ya wito, tunaifanya kwa mapenzi tuu. Mifano mimi ni Mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea.
P

Wewe tatizo lako hukufuata elimu ya mpango wa uzazi!! Ukafuata ushauri wa msukuma mwenzio HOOK, LINE and SINKER!!
 
Hivi hawa waandishi wa Tanzania wanasoma vyuo gani?!
Sasa huyu Beatrice Kamugisha naye ni mwandishi wa habari?!
Ana tofauti gani na Mama Ntilie wa pale Manzese!?
Mwandishi wa habari eti anaandika " anamzalilisha"!
Hivi kama kiswahili tu ni shida kwa waandishi wa Tanzania, vipi kiingereza ?!
Sijui hata kama Waandishi wa Tanzania wanafuatilia kuona wenzao kama wa hapo Kenya walivyo smart!
Waandishi wamekalia umbea umbea tu ,upstairs zeeero!
Ukiamua kuwa mwandishi wekeza kwenye taaluma yako! Onyesha tofauti kati yako na mtu ambaye si wa taaluma yako!
Mwandishi ambaye hata maana ya maneno hajui una tofauti gani na kibaka wewe!!
Utawasikia wakitamka maneno kama "arizi' "zarau",zahabu, zambi, zalilisha, mirasi, habali,!
Vyuo gani na walimu gani waliwafundisha haya maujinga??!
Mnatia hasira sana Makanjanja nyie!
 

Are you trashing her qualifications because of a one word"MISTAKE"?
 
Wakatoliki hawaruhusu polygamy!!!
It's true Mimi ni Mkatoliki wa The African Catholic, tuna ndoa moja ya kanisani na nyingine za kimila, Mungu na Bible,haijakataza polygamy popote!. Hivyo kuna vitu tunafuata amri za kanisa, lakini vingine tunafuata Amri za Mungu mwenyewe.

P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…