Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
No, she is useless and does not deserve to be called a journalist! She has been doing these blunders repeatedly and it seems she is not serious with her career!Are you trashing her qualifications because of a one word"MISTAKE"?
Msiwe na wasi wasi, eti utakula nini au utavaa nini, yote ni kwa YEYE yuwaye YEYE.Waendesha vp familia yako sa
No, she is useless and does not deserve to be called a journalist! She has been doing these blunders repeatedly and it seems she is not serious with her career!
She better go back to school and equip herself instead of vibrating in the public domain wildly!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee Mayalla, nasikia hata marehemu Rehema Mwakangale alikuwa anapiga deiwaka kama kondakta wa daladala pale ITV.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waandishi wa habari Tz,Bongo Muvi,,na waimba taarabu wote kuanza Diamond mpk Homorapa...Nyie mkipata na msiba msitushirikishe raia wema...Pambaneni na hali zenu...
Ni watu wa hovyo Sana hapa Tz Zama hizi...
Kwan hamuajiriwi huko vituoni?Kazi nyingine jameni, acheni tuu, tusiseme!. Hii ni kazi ya wito, tunaifanya kwa mapenzi tuu. Mifano mimi ni Mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea.
P
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu cna khaaaah.Hivi hawa waandishi wa Tanzania wanasoma vyuo gani?!
Sasa huyu Beatrice Kamugisha naye ni mwandishi wa habari?!
Ana tofauti gani na Mama Ntilie wa pale Manzese!?
Mwandishi wa habari eti anaandika " anamzalilisha"!
Hivi kama kiswahili tu ni shida kwa waandishi wa Tanzania, vipi kiingereza ?!
Sijui hata kama Waandishi wa Tanzania wanafuatilia kuona wenzao kama wa hapo Kenya walivyo smart!
Waandishi wamekalia umbea umbea tu ,upstairs zeeero!
Ukiamua kuwa mwandishi wekeza kwenye taaluma yako! Onyesha tofauti kati yako na mtu ambaye si wa taaluma yako!
Mwandishi ambaye hata maana ya maneno hajui una tofauti gani na kibaka wewe!!
Utawasikia wakitamka maneno kama "arizi' "zarau",zahabu, zambi, zalilisha, mirasi, habali,!
Vyuo gani na walimu gani waliwafundisha haya maujinga??!
Mnatia hasira sana Makanjanja nyie!
Hivi hawa waandishi wa Tanzania wanasoma vyuo gani?!
Sasa huyu Beatrice Kamugisha naye ni mwandishi wa habari?!
Ana tofauti gani na Mama Ntilie wa pale Manzese!?
Mwandishi wa habari eti anaandika " anamzalilisha"!
Hivi kama kiswahili tu ni shida kwa waandishi wa Tanzania, vipi kiingereza ?!
Sijui hata kama Waandishi wa Tanzania wanafuatilia kuona wenzao kama wa hapo Kenya walivyo smart!
Waandishi wamekalia umbea umbea tu ,upstairs zeeero!
Ukiamua kuwa mwandishi wekeza kwenye taaluma yako! Onyesha tofauti kati yako na mtu ambaye si wa taaluma yako!
Mwandishi ambaye hata maana ya maneno hajui una tofauti gani na kibaka wewe!!
Utawasikia wakitamka maneno kama "arizi' "zarau",zahabu, zambi, zalilisha, mirasi, habali,!
Vyuo gani na walimu gani waliwafundisha haya maujinga??!
Mnatia hasira sana Makanjanja nyie!
So sad, ila uhuru wa habari tunasema umerudi but wahariri kwenye hizi media zetu Kuna habari hawataki ziona au zisikia hatujui ni agizo au vipiIt's very painful!, most media correspondences ni deiwaka!.
Hili nililijua baada ya kifo cha Daudi Mwangosi wa Channel Ten.
P
Je sheria za kazi/wafanyakazi haziwagusi hawa wamiliki wa vyombo vya habari?most of their correspondents wao ni deiwakas.
Wewe mjinga sana umesoma wapi zaidi ya hapa Bongo?No, she is useless and does not deserve to be called a journalist! She has been doing these blunders repeatedly and it seems she is not serious with her career!
She better go back to school and equip herself instead of vibrating in the public domain wildly!
Ilikuaje Mkuu huo Msiba Wake..? Maana Huyu alikuwa Mwanahabari Mkubwa Sana.Embu dokeza Kwa faida Ya Wengi.Nikikumbuka Msiba wa Nyaisanga, ndiyo uwa naona hiyo kazi ni Bure Kabisa.
Kuna baadhi ya mods wa hovyo Sana ....itakuwa waliuchinja huo Uzi...Tasnia ya habari kwa hapa Tz Ni moja ya Tasnia za hovyo...So sad, ila uhuru wa habari tunasema umerudi but wahariri kwenye hizi media zetu Kuna habari hawataki ziona au zisikia hatujui ni agizo au vipi
Kuna nyuzi nilileta hapa kuhusu raia wa kigeni hususani kutoka ASIA na NIGERIA kujazana mitaani kwetu uku nakufanya shughuli ambazo wazawa wanaweza nikahoji maafisa wa uhamiaji mikoa na wilaya je hawajui hawa watu mbona wamepanga mitaani kwetu na wengine wanaenda kufanya biashara kwenye tasisi za umma mfano kuuza vyombo vya majumbani aisee huo Uzi sijui umepotelea wapi
Siye tunajua impact ya JF ukitupia kitu humu wahusika mpaka maboss inawafikia direct ajabu Uzi huo haupo ndio unawaza hii imekaaje kwenye tasnia ya habari kwa sasa tumerudi kwenye kusifu na kuabudu kimya kimya bahasha zinatembea au vipi
Sio vizuri kabisa kutoa siri za misiba ya watu, marehemu waachwe wapumzike kwa amani. Kwa vile hukuwa na taarifa, karibu mitaa hiiIlikuaje Mkuu huo Msiba Wake..? Maana Huyu alikuwa Mwanahabari Mkubwa Sana.Embu dokeza Kwa faida Ya Wengi.
Sikuwa najua kuwa Alifariki..!
Hii ndio naisikia leo ,,,kuwa mfuasi wa Mungu na Mfuasi wa Mila....hii baghosha kabisa.It's true Mimi ni Mkatoliki wa The African Catholic, tuna ndoa moja ya kanisani na nyingine za kimila, Mungu na Bible,haijakataza polygamy popote!. Hivyo kuna vitu tunafuata amri za kanisa, lakini vingine tunafuata Amri za Mungu mwenyewe.
P."Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"
Wanabodi, Rais Magufuli ametetea dhana ya wake wengi kwenye msiba wa Masaburi, kama ilivyoripotiwa hapa, Naanza na swali, "Baada ya rais Magufuli, kutetea hoja ya wake wengi, jee kuna ubaya Watanzania tukijua, yeye mhe. Rais wetu, ana wake wangapi official na unofficial zaidi ya the official...www.jamiiforums.com
Wakati unamuita mwenzio kanjanja rekebisha andiko lako ni "kuajiriwa" na si kuajiliwa.Wewe mwenyewe kanjanja tu utamsaidiaje mwenzio kuajiliwa nje?
Unadhani una uwezo huo? Hebu acha vituko!
Kwa hiyo iTV nayo ishakuwa kama TBC na Channel Ten?!!!Mabere Makubi alifukuzwa na ITV baada ya kuripoti Habari ya maandamano ya machinga Mwanza.
Alishinikizwa kwenda Kwenye vyombo vya HABARI kuomba radhi.
Akatumwa MTU ITV kwenda kushinikiza afukuzwe kazi.
Familia yake ikaanza kuteseka na akaanza kuombaomba huku waliomfanyia huu unyama wakiwa wanakula Idd na Pasaka na familia zao.
Waandishi wenzake wamemtenga, Nyanda anatumia akaunti yake ya Instagram kuzidi kumchafua akidhani anamsaidia.
Anamwandika as if anamwombea msamaha kumbe indirect anamzalilisha nakutumika na system kuonyesha kwamba serikali inaweza kukufanya chochote.
Taarifa hizi nimezifikisha Kwa mdau wa masuala ya Habari nchi jirani, anafuatilia CV yake aone kama anaweza kumpa kazi ya reporter kutokea Tanzania. Wakiona CV inafaa watamchukua.
Nimeshauriana pia na wenzetu waandishi wa Habari ana wamiliki binafsi , wanaangalia namna ya kumsaudia Mzee wetu huyu aweze kuendeleza taaluma yake.
Lakini hii inatufundisha kwamba hakuna solidarity miongoni mwawana Habari. Kila Siku wanateseka lakini ukifuatilia hotuba Yao Leo is as if Kila kitu kipo sawa.
Wakati huo huo wapo mawakili wanafuatilia namna ya kuchukua hatua endapo ITV walikiuka taratibu za ajira
Tumsaidie mwenzetu; tuungane. Imeandikwa na F.T.F,