Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Naomba kujuzwa hivi huyu mtangazaji wa KISS FM Mwanza ni wa kike au wa kiume au wa jinsia Boflo maana nashindwa kuelewa maana sauti yake ni ya ki-SHE kabisa japo nasikia jina lake anaitwa SHAABAN ABOUBAKAR