Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Samahani mkuu...
Nahisi utakuwa unasikia vibaya hilo jina, Ni Sherbanu Aboubakary ni mdada tena mke wa mtu. Hebu mtake radhi haraka!
Samahani mkuu...
Nahisi utakuwa unasikia vibaya hilo jina, Ni Sherbanu Aboubakary ni mdada tena mke wa mtu. Hebu mtake radhi haraka!
Sorry Charming unamfahamu in person?
Sorry my bad I was so comfused, huwa ananikuna sana na ngoma zake za Hip Hop
Ndiyo...
Thanks napenda sauti yake lakini kwa kuwa una uhakika kwamba hiyo ndio marital status yake basi niinshie hapa naogopa kumwagiwa maji ya moto. Natamani mtu mwenye picha angeiweka hapa kwa nia nzuiri tu if possible.
Yes, nina uhakika 200%, she is married..... Ninamfahamu zaidi ya unavyofikiria.
Mmh haya naishia hapa Charming!
CHarminglady wengineo tuko addicted na mambo ya hatari ,hebu tufahamishe zaidi kuhusu mtu huyu we usijali kucha zitaota na meno yatafanyiwa implant at no time!Weweeeeee...... Tena usije ukamsogelea, utang'olewa kucha na meno bila ganzi!
CHarminglady wengineo tuko addicted na mambo ya hatari ,hebu tufahamishe zaidi kuhusu mtu huyu we usijali kucha zitaota na meno yatafanyiwa implant at no time!