E Eyoma Senior Member Joined Sep 9, 2011 Posts 166 Reaction score 40 May 27, 2014 #1 Nisaidieni kumjua mtangazaji wa kiume anaeharibu kiswahili au ni wa nchi jirani anavosema sasa nachukua gazeti ya nipashe mara gazeti mtanzania.ni nani huyuuu ajirekebishe
Nisaidieni kumjua mtangazaji wa kiume anaeharibu kiswahili au ni wa nchi jirani anavosema sasa nachukua gazeti ya nipashe mara gazeti mtanzania.ni nani huyuuu ajirekebishe
M maguzumasese2005 JF-Expert Member Joined May 1, 2014 Posts 642 Reaction score 169 May 27, 2014 #2 Hii pia thread mods bwana
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 May 27, 2014 #4 maguzumasese2005 said: Hii pia thread mods bwana Click to expand... Au ndo wewe...?? Mbona umeng'aka..
maguzumasese2005 said: Hii pia thread mods bwana Click to expand... Au ndo wewe...?? Mbona umeng'aka..
M maguzumasese2005 JF-Expert Member Joined May 1, 2014 Posts 642 Reaction score 169 May 27, 2014 #5 tedo said: Au ndo wewe...?? Mbona umeng'aka.. Click to expand... Hamna nashangaa tu hii pia ni thread mtu kakaa kaandika thread katuma jf dah mods bwana
tedo said: Au ndo wewe...?? Mbona umeng'aka.. Click to expand... Hamna nashangaa tu hii pia ni thread mtu kakaa kaandika thread katuma jf dah mods bwana