Nadhani mdau unazungumzia sauti ya Bw. Gary Bloom, huyu ni mtangazaji nguli wa ITV ya UK, kama sikosei.
Ktk nchi za 'watu' wanajali sana division of labor na professionalism, hivyo basi, kukiwa na event yeyote yenye mvuto huwa wanajaribu kumpata most qualified person for the job. Huyu Bw. Bloom na wenzake ni mafootball fanatics, ma-pundit, na wana data za kila kona ya ulimwengu, yaani mpira wa miguu ni maisha yao. Hivyo usishangae sana kuhusu hili, ni vijimambo tu, watu wanajali ma-pro.